KITABU CHA MAFUNDISHO (Enzi ya Utakaso, enzi kubwa baada ya nyakati: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu)

저자
정보 없음
출판사
Gabriele Publishing House
출판일
20230320
ISBN
9783964464033
ISBN 등록 지역
독일어권 (ISBN 978-3)

소개

Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu. Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza "maisha yake ya kiroho", akitaka. Ndiyo maana Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu huu, anotoa kitabuni humu maelekezo kwa ajili ya kuingia katika Enzi Mpya, kwa kumsaidia kila mmoja kuitolea maisha yake mwelekeo mpya.Anatuonyesha njia inayotufikisha kwenye uhuru wa kiroho, kwenye Amani, pia kwenye mawasiliano halisi na majirani,wanyama na mazingira.