

소개
Idadi ya watu wanaokufa kila mwaka nchini Kenya kutokana na ajali za barabarani ni kubwa mno, kiasi kwamba ni lazima kila mtu ahusishwe katika kulitafutia tatizo hili suluhisho. Kitabu hiki kinaangazia mambo fulani yanayohusu usalama barabarani kwa lugha nyepesi.



